Deuteronomy 6:1

Mpende Bwana Mungu Wako

1Haya ndiyo maagizo, amri na sheria ambazo Bwana Mungu wenu aliniagiza niwafundishe ninyi ili mpate kuyashika katika nchi ambayo ninyi mnavuka Yordani kuimiliki,
Copyright information for SwhNEN